Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
MlikeshaHatulali leo au sio
MlikeshaHatulali leo au sio
Warembo watoto wazuriTuwavumilie warembo wote
Chukua like kwanzahalafu hizo likes mnageana wenywe tu eeh
Chukua like sambaza likeshalafu hizo likes mnageana wenyewe tu.
Endelea kusambaza like tuDaaah hata kina sie tutapataga likes nyingi
Yup yupEndelea kusambaza like tu
The one and onlyYou ISIS
Naona unakwepa mizinga kwa hii styleWallet yangu inazidi kukonda kila uchao.
Yupo unyirambaniNyiramba girl
HahahaNajaribu kuiwekea kila nyaraka lakini bado haituni
Endelea kusambaza likeheee like 275 duh
Teh teh tehOngezea na matumizi ya sikukuu hizi sidhani kama kuna haja ya kuendelea kuwa na wallet.
Mbona inatisha! Na siku kuu hizi?Naona unakwepa mizinga kwa hii style
Hapo nazijua mwarobaini na shubiri hizo zingine zinqtibu niniMajina ya dawa chungu
Mwarobaini
Shubiri
Chrolomphenical
Vitz
Extrail
Zandu
Zongombwela
Kazana kupost tu mkuu sina kinyongo na likesKuna watu wana malikes ngoja nikazane, likes tafadhali