ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Nzuri pata likesHabari
Nzuri pata likesHabari
HahahahaKazana kupost tu mkuu sina kinyongo na likes
Lazima zikondeNarudia hivi hii sikukuu haita acha wallets zenu salama[emoji23] [emoji23]
Good for youKuna watu wana malikes ngoja nikazane, likes tafadhali
Hatari tupuHakuna pia message ngumu kuijibu kipindi hiki kama hello!
Lazima uwe mpoleAu nina maongezi nawe!
Kadi zenu tu tunasubiriIdd Njema
Mulga Mpunga hiyo avatar yako duh!
Unamjibu hapana nitakutafutaAu uko sehemu nzuri?
HazichachiHatupimi likes
Malkia wa nguvuHahahaha
Asante sanaNitarudi baadae...niwatakie siku njema
Kuna watu wanataka kunishitaki kwa mod maana notification zangu kwa kugonga like zinawamalizia chargeNataka kila aliyekoment apate notifications
Ypyctixtxfifi
Rabekha babaMalkia wa nguvu
Siku njema mkuuNitarudi baadae...niwatakie siku njema
Mkuu nadhani umesahau lengo la uzi na mwanzishaji wake
Kukumbusha tu
"Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau"
Hilo ndo lengo la mwanzisha uzi
Kadi tu mkuu ukipata nishtueSikukuu nitakuwa siendi kokote kama tutakuwa wote weka like hapa