Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
U766
Atakamatwa tu. Tukio si limetokea jana tu? Na anaweza akawa nje ya nchi. Au ni mjanja mjanja kama akina Otieno Id fake maVPN kibao. Tujipe muda na kila kitu kitajulikana !!!View attachment 584140sielewi kwa nini ajakamatwa mpka sasa hii ni double standard cyber crime inafanyakazi upande mmoja
Hivi Deo Kisandu kumbe alipigwa ban. Alikuwa intateina mzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salute Muosha rungu beiiiiibe.
Mavipunda.
Nyani ngabu.
Mshana Jr.
Mzee mwanakijiji.
Joseverest.
Na mods wote waliomliga ban deo kisandu
Sent using Jamii Forums mobile app
HakunaPole sana. Anaendeleaje huko Nairobi? Any updates?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ati nini?