mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Said Mabera
[emoji23][emoji23][emoji23] Huko fb kashachafua hali ya hewaHivi Deo Kisandu kumbe alipigwa ban. Alikuwa intateina mzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ubuyu.ngoja nikaufaidi
Otieno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakamatwa tu. Tukio si limetokea jana tu? Na anaweza akawa nje ya nchi. Au ni mjanja mjanja kama akina Otieno Id fake maVPN kibao. Tujipe muda na kila kitu kitajulikana !!!
Hahahahahahiki kibaridi jamani na ijumaa hii mwe!!
Ukiendelea na spidi hii uliyokuja nayo kesho tu utaukwaa u expert member [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YapTuendelee tu kuomba. Atapona !!!
DABKuna kamsitu hivi karibu na nyumba aliyokulia Bashite kuna nyani wengi sana. Asante !!!