Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jamaa alikuwa na sauti nzuri sana. Na TX Moshi Williams pembeni, ilikuwa safi sana !!!Rip
Shabani Gurumo
HahahhaUkiendelea na spidi hii uliyokuja nayo kesho tu utaukwas u expert member [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haitatokea tena kwa kweliJamaa alikuwa na sauti nzuri sana. Na TX Moshi Williams pembeni, ilikuwa safi sana !!!
Kamwaga upupu gani? Anagombea urais au CCM wanaendelea kumharibia?