Suala la Ben linaumiza sana yule binadamu mwenzetu hatujui yuko mzima ama hai imagine ndio Mtoto wako, kaka yako, mdogo wako, mjomba wako amepotea katika mazingira hayo hamjui muweke tanga la kumaliza msiba auNdiyo kawaida ya nchi yetu. Hadi hii leo waliohusika na kumuua Kamanda Mawazo, Mwangosi hawajatiwa hatiani hadi hii leo na wahusika wengi wa maovu mengine. Ben Saanane kapotea kama mchezo na Serikali haijui chochote usishangae na hili pia wakalipotezea tu.
Mkuu mkuu...Au laa "ukishike kisu kwenye kipini chake kisije kukukata mikono"
Sent using Jamii Forums mobile app