Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1502994385500.png
 
Kwani walikuwa majambazi au ... Maana sijaelewa, hivi mtu akuvamie na smg risasi zaidi ya 20 mchana kweupee na si mwizi wa gari wala pesa.... ...leo tunaliwazana hapa kuwa watapatikana mmh , haya. Hivi wale waliomshambulia Absolom Kibanda walipatikana? mnikumbishe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tupate likes tu hakuna namna kupatikana ni ngumu
 
Back
Top Bottom