Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Suala la Ben linaumiza sana yule binadamu mwenzetu hatujui yuko mzima ama hai imagine ndio Mtoto wako, kaka yako, mdogo wako, mjomba wako amepotea katika mazingira hayo hamjui muweke tanga la kumaliza msiba au
Serikali embu iwe serious na maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…