Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V347
Si wanasema risasi zilimpata tumboni na miguuni?kama hazikufika kwenye uti wa mgongo naimani yuko salama..Ni kweli Mkuu ni giza kubwa sana. Nahofia kama ataweza kurudia katika hali yake ya kuweza kutembea mwenyewe kwa nguvu zake na kuishi bila kuwa tegemezi kwa familia yake. Tumuombee mwenzetu.
Hivi mechi nyingine lini tena[emoji23][emoji23][emoji23]nimemiss kufungwa etAfadhali sisi wa Asenooo yaani Rahatupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Skuli tupa kule nipo free saaa next week South Africa na Babe S. Wenye wivu ni mewaandalia katani mje mjinyonge
Amina!Si wanasema risasi zilimpata tumboni na miguuni?kama hazikufika kwenye uti wa mgongo naimani yuko salama..
Mungu amfanyie wepesi apone haraka
Bila kujivunga na toa likes piaKula likes
Hivi mitihani imeisha eeh?Skuli tupa kule nipo free saaa next week South Africa na Babe S. Wenye wivu ni mewaandalia katani mje mjinyonge
Yes na mbandoReplies 368K Views 3.9 million! A supersonic speed.
Wivu mbaya Carba, tuacheeeeHivi mitihani imeisha eeh?
Huko SA mnazamia au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita kukusalimia tu[emoji124] [emoji124]
Hahaha Carba, umenikumbusha miaka ya 90 watoto wa STD 7 wakimaliza mtihani tu wana ishia south.Hivi mitihani imeisha eeh?
Huko SA mnazamia au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita kukusalimia tu[emoji124] [emoji124]