Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V351
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombeni lifti basiWivu mbaya Carba, tuacheeee
Hatutaki utatusumbua kwanza umesha vunja ndoa ya Nsamaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naombeni lifti basi
Naona mnafuata nyayo za wahenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha Carba, umenikumbusha miaka ya 90 watoto wa STD 7 wakimaliza mtihani tu wana ishia south.
Hahaha Andjul ndie YakoboHaHahahahaha lol! Yakobo kazua balaa! Sasa inasemekana Walimu wote kila wakimaliza somo lao huzuka kwa YAKOBO kununua wakipendacho.
[emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke kwanzaEti ni kweli carbamazepine hapo ulipo umetinga na kimini na kiblouse cha uchokozi chokozi?
NitamsalimiaNaona mnafuata nyayo za wahenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie babe S