Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
V366
Mwambie nashukuru,aje basi mchina amuone[emoji6][emoji6]Anasema na yeye anakusalimia
HahahahahaMkuu nimefika kushuhudia uumbaji wa muumbaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahaMkuu hii Mkindu maana yake ni nini?
[emoji23][emoji23]me magauni na madera tuOh! we mtu wa madira tu 24/7 ili kuficha neema ulizojaliwa.
Mkute Carba na kanguo kafupi kalikofuata mwili lazima upate mfaza.......o[emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke kwanza
Mimi sivai vimini mkuu wala viblouse vya uchokozi
AMUN RAAMUN RA