Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli Mkuu ni giza kubwa sana. Nahofia kama ataweza kurudia katika hali yake ya kuweza kutembea mwenyewe kwa nguvu zake na kuishi bila kuwa tegemezi kwa familia yake. Tumuombee mwenzetu.
Si wanasema risasi zilimpata tumboni na miguuni?kama hazikufika kwenye uti wa mgongo naimani yuko salama..
Mungu amfanyie wepesi apone haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…