[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Bw mdogo kaonjeshwa asali anang'ang'aniaaa, mpaka shule anaitupa kuleee>>>[emoji3] [emoji3]. Wapi babeS. Njoo utueleze siri ya yote hayaHivi mitihani imeisha eeh?
Huko SA mnazamia au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita kukusalimia tu[emoji124] [emoji124]
Tutayajenga kesho dogoDogo si poa si fair kabisa
Nilienda kutafuta vile vitu vyako nikapotea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unazingua dogo
Mchana mbona ulinikimbia?
Hahahahaha
IndeedAMIN Mkuu Mwenyezi Mungu amsaidie. Ingekuwa vizuri kama Madaktari watafanya news conference ili watupe update zao za kitaaluma.
IndeedSi wanasema risasi zilimpata tumboni na miguuni?kama hazikufika kwenye uti wa mgongo naimani yuko salama..
Mungu amfanyie wepesi apone haraka
LikesKula likes