Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AMIN carbamazepine, tumuombee Mwenyezi Mungu amponye haraka. Kumuona huyu anatembea tena kwa nguvu zake mwenyewe kuongea na kuweza kufanya shughuli zake zote bila matatizo itakuwa ni furaha kubwa sana kwa Watanzania wengi wenye mapenzi mema na nchi yetu, baadhi wanaweza kabisa kutoa machozi ya furaha hiyo siku ya siku yaliyochanganyika na huzuni kwa kujua Mungu amemuepusha na uhai wake kuchukuliwa. Tumuombee Waungwana.
AMUN RA
 
5ea4f917b81a4a75a1893c56d607d5e0.jpg
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom