Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke kwanza
Mimi sivai vimini mkuu wala viblouse vya uchokozi
Ungejua ninavyokufikiriaga jinsi ulivyo kuanzia sura, shepu, kimsambwanda na mengineyo pengine ungekubali tu kuwa hicho ulichovaa ndicho ulichovaa. Nakutakia wikiendi njema shemeji. [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom