Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ungejua ninavyokufikiriaga jinsi ulivyo kuanzia sura, shepu, kimsambwanda na mengineyo pengine ungekubali tu kuwa hicho ulichovaa ndicho ulichovaa. Nakutakia wikiendi njema shemeji. [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha
HahahaLala tu uongeze urefu huo.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapana mamaa tukio la kupigwa risasi mh lissu si la kawaida angalia magazeti mpka ya michezo wameandika habari ya kupigwa kwake risasi haijawahi kutokea magazeti ya michezo kuandika habari za kisiasaUzi wa likes umeanza kujaa siasa