moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji113] [emoji113] [emoji736] [emoji736]Hapana mamaa tukio la kupigwa risasi mh lissu si la kawaida angalia magazeti mpka ya michezo wameandika habari ya kupigwa kwake risasi haijawahi kutokea magazeti ya michezo kuandika habari za kisiasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Swali zuri sana nilitaka kuuliza mida sana
Huenda ni maonyesho ya majeza[emoji3] [emoji3] yamewekwa tujichagulie sampuli[emoji3]Swali zuri sana nilitaka kuuliza mida sana
[emoji3] [emoji3]Watu wakorofi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr..Remmy kumbe alikuwa handsome tu...
Huku kwetu mtu anaweza kusema "nikishindwa uchaguzi narudi kwetu kulima" lakini akishindwa kila siku utamuona Kariakoo anachagua mitumba[emoji3] [emoji3]Sio wanasiasa wetu ucharwa
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Wako bado emotional. Wapeni muda watapoa na mambo yataendelea kama kawaida. Tuvumiliane.
Imekuwa sekeseke kuliko hata mapolisi 10 wakiuwawa.
[emoji3] [emoji3] Mkuu kumbuka kuna yule wa Iringa aljiua mwenyewe. Huyu chifu PAZI KIBASIRA alikasirishwa na nyodo za yule mwingereza, alikasirika, lakini yeye aliwatuma watu wake wamkamate na kumfikisha kwake. Kisha akamtumbua na kuwapa wamfukie.[emoji3] [emoji3] ni ujasiri. Kulitambua hilo serikali imetoa shule nzima pale Temeke. Kibasira Nursery, primary & Secondary School. Muhimbili kuna jengo zima kwa jina lake. Na tuna mtaa wa Kibasira. AKUMBUKWE hata Koromije[emoji3] [emoji3]Ulivyomsifia duh! Akina Mkwawa, Mirambo, Kimweri, Mangungo, Mangi Sina,na wengine umewagusia gusia tu...Kweli mwamba ngoma huvutia kwake !!!