Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana mamaa tukio la kupigwa risasi mh lissu si la kawaida angalia magazeti mpka ya michezo wameandika habari ya kupigwa kwake risasi haijawahi kutokea magazeti ya michezo kuandika habari za kisiasa
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji113] [emoji113] [emoji736] [emoji736]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyomsifia duh! Akina Mkwawa, Mirambo, Kimweri, Mangungo, Mangi Sina,na wengine umewagusia gusia tu...Kweli mwamba ngoma huvutia kwake !!!
[emoji3] [emoji3] Mkuu kumbuka kuna yule wa Iringa aljiua mwenyewe. Huyu chifu PAZI KIBASIRA alikasirishwa na nyodo za yule mwingereza, alikasirika, lakini yeye aliwatuma watu wake wamkamate na kumfikisha kwake. Kisha akamtumbua na kuwapa wamfukie.[emoji3] [emoji3] ni ujasiri. Kulitambua hilo serikali imetoa shule nzima pale Temeke. Kibasira Nursery, primary & Secondary School. Muhimbili kuna jengo zima kwa jina lake. Na tuna mtaa wa Kibasira. AKUMBUKWE hata Koromije[emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…