Vinginevyo sijaona tukio kubwa la kisiasa zaidi ya kulilia afya ya mwana siasa.
Unamaanisha nini mkuu?
Ni kupungua kwa likes?
Ni kuzidi kwa siasa?
Ni nini?
Funguka tuone kama tunaweza kurekebisha...
Kawaida asubuhi kabla ya chai kunakuwa na mchaka mchaka hapa. leo pako kimyaaaLeo haijaisha mkuu,kumbuka ni match day
Si kweli,kuna kipind asubuh panapooza sana kisha panachangamka saa tatu saa nneKawaida asubuhi kabla ya chai kunakuwa na mchaka mchaka hapa. leo pako kimyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na iwe hivyoSi kweli,kuna kipind asubuh panapooza sana kisha panachangamka saa tatu saa nne
Vinginevyo sijaona tukio kubwa la kisiasa zaidi ya kulilia afya ya mwana siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app