Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huwa tunaichochea miili yetu kwa vyakula tunavyochagua kula. Huwa vinatoa virutubisho muhimu kwa ajili ya maisha ya afya na yenye manufaa. Usagaji wa chakula ni mchakato tata wa kuvunjavunja chakula kuwa tofali moja moja ili mwili uyabadilishe na kuyatumia kuendeleza uhai. Mchakato huu huanzia mdomoni, kwenda tumboni, kisha kwenye utumbo mwembamba na hatimaye kwenye utumbo mpana.
Tunaweza kugawa virutubisho katika kategoria au makundi haya muhimu:
Tunaweza kugawa virutubisho katika kategoria au makundi haya muhimu: