Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fikiria maajabu ya seli moja, uchangamano wa ubongo, uchangamano makini wa moyo au mwujiza wa uzazi toka kwa Mungu. Tunashangazwa na ubunifu makini wa mwili wa mwanadamu. Mwumbaji mwenye upendo alifanya kila njia kutuumba na kama lilivyo gari la kifahari miili yetu pia inahitaji fueli (mafuta) bora kabisa ya kuendesha maisha yetu, na fueli hiyo inatokana na vyakula tunavyokula.
 
Bila fueli (mafuta) ya hali ya juu katika gari la kifahari, gari huenda mwendo mfupi zaidi kwa kilometa, hupoteza nguvu, na injini huwa haitembei vizuri. Na bila lishe sahihi, miili yetu pia haiwezi kufanya kazi sawasawa.

Lishe yenye ulingano iliyochaguliwa kutoka katika vyakula bora itatoa virutubisho muhimu kwa ajili ya ukuaji, ukarabati na nguvu.
 
Tunapochagua vyakula duni au tusipokula kiasi cha kutosha, mashine ya mwili huteseka. Na tukila kupita kiasi vyakula vilivyokobolewa na kusafishwa sana, tunaweza kunenepa kupita kiasi kwa urahisi na kukosa virutubisho muhimu. Aliyetuumba anajali kuhusu afya zetu na inatupasa sisi tujali pia, “Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo” (3 Yoh. 2).
 
Hahahaa ubuyu mtamu
Asante shemeji. Unajua hapa unamzoea mtu mpaka unaanza kumjengea taswira kabisa. Halafu baadaye unakuja kugundua kuwa ni Otieno. Dah !!! Nisamehe shemeji kama nilikosea.

Habari ya leo nzuri sana. Kuna likimbunga linakuja huku hali ni tete. Ndiyo nimepata hoteli salama nahamia huko. Ajabu wamenipa ghorofa ya 22. Sasa huko si ndiyo kwenye maupepo makali zaidi? Kwa kweli itabidi tu upige maombi ikibidi ufunge kabisa hakuna kula wala kunywa pamoja na ubuyu. Hata Numbisa akitokelezea ana ubuyu mpya mpige stop mwambie kuwa leo nimefunga namuombea shemeji yangu Shimba... ha ha haaaaa
​
 
21295059_1681830235160712_8652545783427497984_n.jpg
 
Hata hujanikosea shemeji usijali
Kama umepata sehemu unahamia hizo ni habari njema,Mungu akulinde shemeji yangu,nipo nakuombea...
Ikiwezekana umalize na mambo yako ASAP urudi kpromije nije kutembea[emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom