Hivi hujaondoka tu huko inakokuja?me nataka kuja koromoje ujue??HII HURRICANE IKIKATA MTANDAO NITAKOSA LIKES
Huyu singo faza kawa shida tayarLEO JAKITOO NA SINGO FAZA JANA WALIKESHA WANAONGEA. WALIKUWA WANAONGEA NINI?
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]nashukuru kwa hizi barakaSHEMEJI WA UKWELI CARBA. UKO WA PEKEE SANA. MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI SHEMEJI
Asante shemeji. Unajua hapa unamzoea mtu mpaka unaanza kumjengea taswira kabisa. Halafu baadaye unakuja kugundua kuwa ni Otieno. Dah !!! Nisamehe shemeji kama nilikosea.
Habari ya leo nzuri sana. Kuna likimbunga linakuja huku hali ni tete. Ndiyo nimepata hoteli salama nahamia huko. Ajabu wamenipa ghorofa ya 22. Sasa huko si ndiyo kwenye maupepo makali zaidi? Kwa kweli itabidi tu upige maombi ikibidi ufunge kabisa hakuna kula wala kunywa pamoja na ubuyu. Hata Numbisa akitokelezea ana ubuyu mpya mpige stop mwambie kuwa leo nimefunga namuombea shemeji yangu Shimba... ha ha haaaaa
Koromije tupo Gado. Siyo Bishop G tu. Kuna DAB pia....Hahahahaha
Yupo mtu maarufu sana pale Bishop G
Hata hujanikosea shemeji usijali