Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fid Q awachana wakina dada
Rapa Farid Kubanda 'Fid Q' ameibuka na kuwachana baadhi ya wakina dada wenye tabia ya kuwategeshea wanaume zao ili wapate watoto kwa kuwaambia hicho wanachokifanya hakina utofauti na unyanyasaji hivyo wanapaswa wabadilike katika hilo jambo.

Fid Q ameeleza hayo kupitia tinga namba moja kwa vijana EATV katika kipindi cha eNewz baada ya kuwepo wimbi kubwa la wanaume kukataa kulea watoto wao kwa kisingizio cha kusema hakuwa wamejiandaa katika kipindi hicho kuwa walezi wa mtoto.

CantstopwontStop
 
"Huo ni ukatili na dhuruma, ongea na mtu mkubaliane na siyo umtegeshee mwenzako ili upate mtoto. Maisha siku hizi ni magumu sana, watu wanaishi kwa mipango na ratiba kamili ya mwaka kwa lugha nyepesi naweza sema watu wanaishi kwa 'principal'. Kwa hiyo ushauri wangu kwa wakina dada acheni ukatili na mjitahidi kuongea na wenza wenu ili muweze kupata kile mnachostahili katika mahusiani yenu", amesema Fid Q.

Mbali na hilo, Fid Q amedai hata kama umri wake unazidi kusogea mbele na kuwa mzee hayupo tayari kukurupuka kuingia katika ndoa.

CantstopwontStop
 
Siyo kitu cha kukimbilia maana wanasemaga bora ukosee kazi kuliko kukosea mke wa kuoa, kwa sababu ukikosea kuchagua mke wa kuoa anaweza kukuharibia maisha yako yote. Kwa hiyo tayari nina 'idea' na mtu ambaye anafaa kuolewa na mimi chamsingi tu nawaomba mniombee dua za kheri, ili nasi tuone kama tutaweza kutimiza moja ya suna kubwa za binadamu", amesisitiza Fid Q.

CantstopwontStop
 
Aisifiae mvua[emoji23][emoji23][emoji23]
Fid yamemkuta nini
 
Utafiti: Usile chakula usiku baada ya saa mbili, mwisho saa kumi na moja jioni
Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba kuna hatari kubwa kwa mtu akila chakula kigumu usiku kwanzia saa mbili usiku.

Mtu anaweza kupata mshutuko wa moyo,shinikizo la damu ama strock.

CantstopwontStop
 
Utafiti: Usile chakula usiku baada ya saa mbili, mwisho saa kumi na moja jioni
Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba kuna hatari kubwa kwa mtu akila chakula kigumu usiku kwanzia saa mbili usiku.

Mtu anaweza kupata mshutuko wa moyo,shinikizo la damu ama strock.

CantstopwontStop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…