Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Done deal
CantstopwontStop
CantstopwontStop
Halafu kwa nini umefikiria diazepam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hujamuwrkea diazepam kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Very bad news kwa kweliBinti Abakwa Hadi Kufa Kinondoni Dar Es Salaam
Kundi la vijana wasiofahamika wamembaka msichana wa miaka 20 hadi kufa na kisha kumtupa jalalani maeneo ya jirani na nyumbani kwao Madale Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wakisimulia tukuio wazazi wa binti huyo, wamesema kuwa mpaka majira ya saa nne usiku kuamkia Jana Septemba 7 alikuwa nyumbani kabla ya kuwasili kwa vijana watatu waliokuja na pikipiki (bodaboda) na kuanza kuzungumza naye kama marafiki kwa takribani saa nzima na baadae binti yake kuaga akitaka kuwasindikiza na hakurudi tena hadi alipopewa taarifa za kifo hicho.
Aidha Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Madale, Gration Mbelwa ameliomba Jeshi la Polisi kuhakikisha watuhumiwa wanakamatwa na kuwaomba wanafamilia pamoja na rafiki za binti huyo kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuwakamata watuhumiwa hao.
CantstopwontStop
Kazi kweli kweliUtafiti: Usile chakula usiku baada ya saa mbili, mwisho saa kumi na moja jioni
Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba kuna hatari kubwa kwa mtu akila chakula kigumu usiku kwanzia saa mbili usiku.
Mtu anaweza kupata mshutuko wa moyo,shinikizo la damu ama strock.
CantstopwontStop
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Acha tuangalie movie la kihindi hiliAnataka kutekwa na mzee wa ini huyo
NimeonaKaja nenda kaone matusi yake[emoji22][emoji22]
Kwanini mzee mwenzangu