Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
chunga Tamaa Mbaya
CantstopwontStop
CantstopwontStop
Asante kwa kweliPole sana
hujamuwrkea diazepam kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante kwa kweli
Acha nipigepige likes kwanza,dogo nimempa uji najua hazipiti dk 30 atalala[emoji23] [emoji23]
Hahahahhahujamuwrkea diazepam kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kwanini umefikiria diazepam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahha
Hamna uji wa lishe mixer yake ni diazepam tosha
Muda huu hamuongei chochote kuhusu mzee Wenger, usiku mtalipuka hapa mkimtakia mabaya yampate[emoji3]Yeye anataka tufungwe
Ila dk 90 zitatoa hukumu inshallah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Muda huu hamuongei chochote kuhusu mzee Wenger, usiku mtalipuka hapa mkimtakia mabaya yampate[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
SadBinti Abakwa Hadi Kufa Kinondoni Dar Es Salaam
Kundi la vijana wasiofahamika wamembaka msichana wa miaka 20 hadi kufa na kisha kumtupa jalalani maeneo ya jirani na nyumbani kwao Madale Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wakisimulia tukuio wazazi wa binti huyo, wamesema kuwa mpaka majira ya saa nne usiku kuamkia Jana Septemba 7 alikuwa nyumbani kabla ya kuwasili kwa vijana watatu waliokuja na pikipiki (bodaboda) na kuanza kuzungumza naye kama marafiki kwa takribani saa nzima na baadae binti yake kuaga akitaka kuwasindikiza na hakurudi tena hadi alipopewa taarifa za kifo hicho.
Aidha Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Madale, Gration Mbelwa ameliomba Jeshi la Polisi kuhakikisha watuhumiwa wanakamatwa na kuwaomba wanafamilia pamoja na rafiki za binti huyo kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi ili kuwakamata watuhumiwa hao.
CantstopwontStop