Bado haujamjua kwa ubishi kakaako?Umeondoka lakin?
HahahahahaHii ndiyo raha ya ligi sasa,lazima mtu upate physical and mental test kutoka kwa timu kama stocke city,burnley na sasa hivi kuna Huddersfield town
Hizi post za jion hii umeziona?Bado haujamjua kwa ubishi kakaako?
Ila nitamkomesha, akijiselfisha na lijiwimbi halafu akipost huku kazi yangu itakuwa ni ku dislike mwanzo mwisho
Hahahahaha wapi kichwahawana mchezo hawa watoto,ukitoka sare britania ni sawa na umeshinda
Ushindi raha sanaMmmh kisa aseno leo kashinda naona una furahaaa
HahahaHahahahaha lol! Chezeya technology Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]afadhali mngefungwa kwakwel maanaBora kuchonga droo kuliko kubugizwa 5G
Hila red card ya manehahahaha
epl si mchezo
HahahaBora kuchonga droo kuliko kubugizwa 5G
Shimba ni tatizoHizi post za jion hii umeziona?
Halafu hilo swali hakunijibu kumbe alikuwa hajaondoka