Kuna sehem kwenye ile post alisema yuko na jamaa gani sijui wana drive kama 7hrs hivi nikajua wamesepa mana nilimwambia kama inawezekana kuondoka ingekuwa ni kheri ndo akanijibu vileNikikumbuka nilivyokukwoti wewe na yeye ili unionyeshe aliposema ameondoka, ukanikwotua kwa mashushu na kusema mimi nazeeka vibaya... Kweli? Mimi? Haya si aliondoka? Unafadhaika nini? Niliumia siku ile hadi machozi yaligoma kutoka... [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Sijui hata kakimbilia wapi na yeyeAaah humtakii mema cole
Yaani we acha tuMzee wa liver [emoji23][emoji23][emoji23] ....aka 5G umetsha babaa iyo kasi ya intanent sio ya nchi hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah usiogope bana au nipe linkSijui hata kakimbilia wapi na yeye
Kuna sehemu nataman nikuite ila naogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko sehemu salama embu pitieni post zake lakini hali si nzuri karibia eneo kubwa na wameamliwa na mamlaka husika kutotoka nje mpka jumatatuKuna sehem kwenye ile post alisema yuko na jamaa gani sijui wana drive kama 7hrs hivi nikajua wamesepa mana nilimwambia kama inawezekana kuondoka ingekuwa ni kheri ndo akanijibu vile
Pole samahani [emoji120][emoji120]
Alisema watadrive ila tatizo foleni kwenye gas na highway.Kuna sehem kwenye ile post alisema yuko na jamaa gani sijui wana drive kama 7hrs hivi nikajua wamesepa mana nilimwambia kama inawezekana kuondoka ingekuwa ni kheri ndo akanijibu vile
Pole samahani [emoji120][emoji120]
Yap naona mkuuMungu ashukuriwe sana gharika la IRMA limepungua nguvu kutoka category 5 na sasa kuwa category 3.