mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na kwakoAsubuhi njema
YapKumepambazuka
Hatujambo watanzaniaJambo Tanzania
Jukwaa la siasa litafute,Sasa naona wameamini kuwa Tundu Lissu ni mtu muhimu sana kwa siasa za kipindi hiki
Nzuri nipo home tulidamkia churchGood morning mzee wa liva..... za jumapili
EgyptJambo Misri
HahahahahaHa ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lord i hope this day is good.[emoji4][emoji4][emoji4]
AMUN RAAMANI YA MILELE YOTE
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mzee wa Tukuyu atakuja sasa hivi
Good morning my loveGood morning my dearest
Jukwaa la siasa litafute,
Huku wote tuna itikadi moja ambayo ni like kwa like!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hata nukta ni likes
Mzee wa liver una roho ya paka mkuu!Hahahahaha nilifikiri kumfukuza wenger
Mkwanja unasababisha mpaka Ndugu kutoelewana.
Mkwanja unasababisha Watu kumalizana.
Mkwanja unasababisha Fitna.
Huu Mkwanja huu!
Mzee wa liver hongera sanaVipi Mkuu unataka kuama arsenal nini