Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio matatizo ya kutokuwa na hela, muda wote ni kulalama tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

CantstopwontStop
 
Wahenga mpo? Tena baisikeli hapa iwe Swala mpya hata plastiki hujazitoa. Binti lazima aingie kingi....

Muimbishaji anaimbisha bila kumuangalia muimbishwaji. Muimbishwaji anaimbishwa, anang'ata kidole na uso kauinamisha! Sasa ikifikia kibwagizo nadhani hata sauti ya wimbo hatutaisikia! [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…