Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Marahaba mama(ila hiyo shikamoo usiitamke kwa msisitizo, bado nina nguvu ujue...), habari ya jumatatu japo hauipendi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Au nibadilishe niseme mambo?
Ujue hiyo salamu nilipiga hadi goti?[emoji23][emoji23][emoji23]
Salama tu namshukuru Mungu
Vp safari yaendelea?
 
*Samahani, Eti katika kutembea tembea kwako ulishawahi kusikia MMASAI anayezungumza kwa BESI*[emoji14][emoji14][emoji14][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom