Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Au nibadilishe niseme mambo?
Ujue hiyo salamu nilipiga hadi goti?[emoji23][emoji23][emoji23]
Salama tu namshukuru Mungu
Vp safari yaendelea?
Hapana usibadilishe.
Nipo mahakama ya maparachichi na mboga mboga hapa Mbezi mwisho.
Baada ya kuona limbaula langu haliendi, nilipo fika Kitonga niling'oa breki, hauwezi amini,spidi nilioporomokea pale ndio niliyo fika nayo Mbezi.
Nilichofanya ni kuitafuta nyumba yenye alama ya X,nimeigonga ndio kusimama kwangu.
 
d24f1465d6990410058b4b45ddb3753e.jpg
 
Hapana usibadilishe.
Nipo mahakama ya maparachichi na mboga mboga hapa Mbezi mwisho.
Baada ya kuona limbaula langu haliendi, nilipo fika Kitonga niling'oa breki, hauwezi amini,spidi nilioporomokea pale ndio niliyo fika nayo Mbezi.
Nilichofanya ni kuitafuta nyumba yenye alama ya X,nimeigonga ndio kusimama kwangu.
Kama umefika salama tumshukuru Mungu,wazima lakin?
Maparachichi yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom