myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtu badala achukie maisha yake anachukia uzi hatari sana
CantstopwontStop
Au nibadilishe niseme mambo?Marahaba mama(ila hiyo shikamoo usiitamke kwa msisitizo, bado nina nguvu ujue...), habari ya jumatatu japo hauipendi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pira la nguvuShimaaaaaaaa
Umeamua kuoa al shabab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](nakutania tu)Road to namanga now
kesho kutwa natinga somalia kujitambulisha😎
HahahahahaUmeamua kuoa al shabab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](nakutania tu)
Niletee zawadi ya mabomu kuna mtu nataka nimlipue[emoji23][emoji23][emoji23]