Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AINA ZA MBEGU
a) Mbegu aina ya chotara(hybrid)
b) Aina ya ndugu moja(synthetic)
c) Mbegu aina ya composite

Mbegu za kisasa zikitumiwa vizuri katika vizuri katika misingi
ya kilimo zina uwezo wa kuzaa magunia 50-80 au tani 5.5 –
7.5 kwa hekta moja au umi kwa hekari.
 
KANUNI YA NNE KUPANDA
Idadi ya mimea katika eneo ni muhimu kwani ikazidi
a) Mazao hupungua.
b) Mmea huangushwa na upepo
c) Mabua mengi hayazai.
Idadi ya mimea nayo ikipungua kwenya eneo husababishwa
mavuno kupungua jambo la kufanya ni kupanda mbegu
katika nafasi sahihi zilizoshauriwa na wataalamu.
 
KANUNI YA NNE KUPANDA
Idadi ya mimea katika eneo ni muhimu kwani ikazidi
a) Mazao hupungua.
b) Mmea huangushwa na upepo
c) Mabua mengi hayazai.
Idadi ya mimea nayo ikipungua kwenya eneo husababishwa
mavuno kupungua jambo la kufanya ni kupanda mbegu
katika nafasi sahihi zilizoshauriwa na wataalamu.
 
KIASI CHA KUPANDA
a) Mbegu za mahindi huhifadhiwa kwa dawa kali(sumu
b) Kiasi cha kilo 20(ishirini) za mbegu kinatosha kupanda
hekari moja., (*Hii hutegemea na aina ya mbegu)

Nafasi za kupanda.
75cm x 30cm
75cm x 60cm
90cm x 25cm
90cm x 50cm
 
Kilimo bora cha matango
Kilimo cha matango miongoni mwa mazao ambayo hustawi zaidi katika hali ya hewa ya joto na kati ya nyuzi joto 18°C hadi 35°C.Udongo Hustawi vizuri katika udongo tifutifu wenye rutuba usiotuamisha maji.

Uandaaji wa shamba.
Maandalizi ya shamba Lima shamba kwa trekta, kwa ng’ombe ama kwa jembe la mkono kwa kina cha sentimita 30 hadi 45
Weka matuta ya mwinuko yenye upana wa mita 1 hadi 1.5 kutoka kati ya tuta na tuta.
 
Upandaji
1.ya kwanza ni ile ya kupanda mbegu moja kwa moja na
2. ya pili ni ile ya kupanda mbegu kutoka katika kisha kuhamisha baada ya siku 8 hadi 10.
Njia ya kupanda mbegu moja kwa moja ni rahisi lakini ile ya kupanda katika trei ni bora zaidi kwani shamba hujaa vizuri katika nafasi na hukua haraka na kuzaa mavuno mengi.
 
Pima mashimo ya kupandia katika umbali wa sentimita 20 hadi 25 kutoka shina hadi shina mstari mmoja kwa tuta na sentimita 40 katika mfumo wa zig-zag pande zote mbili za tuta na kupanda.

Mbolea kianzio iwekwe katika kila shimo na kupanda endapo miche kutoka katika trei itatumika Hakikisha shamba lina unyevu wa kutosha kabla ya kupanda
 
Pima mashimo ya kupandia katika umbali wa sentimita 20 hadi 25 kutoka shina hadi shina mstari mmoja kwa tuta na sentimita 40 katika mfumo wa zig-zag pande zote mbili za tuta na kupanda.

Mbolea kianzio iwekwe katika kila shimo na kupanda endapo miche kutoka katika trei itatumika Hakikisha shamba lina unyevu wa kutosha kabla ya kupanda
 
Palizi Palilia shamba mara kwa mara ili kuhakikisha shamba halina magugu Magugu hudhibitiwa kwa palizi ya jembe, kung’oa kwa mkono ama matumizi ya viuagugu.

Njia nyingine ni matumizi ya plastiki maalum kuzuia magugu yaani ‘plastic mulch’
Mbolea Tumia mbolea ya DAP wakati wa kupanda na kisha tumia NPK yenye uwiano mmoja kama, 18:18:18, 17:17:17 ama 16:16:16 baada ya wiki tatu toka Usegekaji
Tumia nguzo za unene wa inchi 2 na kamba ili kuinua mimea na matunda yasiguse ardhi na kuoza.
 
Uchavushaji
Hii ni muhimu sana kuzingatiwa kwani tango huchavushwa kwa wadudu na si upepo. Bila wadudu kama nyuki uzalishaji huchelewa sana.
Ni muhimu kupanda mazao kama alizeti na maua mbali mbali yanayopendwa na wadudu wachavushaji ili kuhakikisha uwepo wa wadudu hao shambani.
 
Aidha inapo-lazimu ni vema kuweka mizinga kadhaa ya nyuki katika shamba la tango,Matumizi ya viuatilifu Katika udhibiti wa wadudu na magonjwa matumizi ya viuatilifu yafanyike kwa maelekezo ya wataalam kubaini tatizo na kiuatilifu hitajika na namna ya matumizi yake
Mavuno Mavuno huanza baada ya siku 40 hadi 45 kutegemea na aina pamoja na hali ya hewa.
 
KILIMO CHA MATANGO.
Tunda linalostawi maeneo ya kitropiki na lenye faida kemkem za kiafya ikiwemo upatikanaji na vitamin A pamoja na waswahili husema ulaji wa tunda hili husafisha figo, na huku wataalamu wakieleza tunda hili Husaidia katika kuongeza maji mwilini, pia Husaidia katika mmeng`enyo wa chakula.

Mikoa mingi hapa Tanzania huzalisha zao hili kwa wingi, ikiwemo Arusha, Tanga, Tabora, Mwanza, Pwani, Morogoro na mingine mingi.
 
HALI YA HEWA.
Joto liwe 18 hadi 35 setrigrade, mvua iliyo ya wastani, umbali kutoka usawa wa bahari ni mita 1000 – 1200.mvua ziwe za wastani.

kwa kilimo cha matango suala la kuzingatia ni kuhakikisha unapanda mbegu bora na unafuata kanuni zingine za kilimo, ikiwemo kuzingatia uandaaji wa shamba kwa kusafisha na kuondoa kila aina ya uchafu uliopo pia kuandaa matuta yenye muinuko na kuweka mashimo katika vipimo vinavyotakiwa, upandaji wa nafasi, palizi, uzuaji wadudu wasumbufu kama inzi weupe, usegekaji (staking), kuvuna kwa wakati. Usipande matango sehemu zenye mwanga mkali au sehemu ambazo zenye kivuli, hivyo matango yapandwe katika sehemu zenye mwanga wa kutosha na sio uliozidi au kupungua, kwa kuzidi kwa mwanga matango hupelekea maua dume kuzaliwa kwa wingi, na kwa kupanda sehemu zisizo za mwanga hupelekea maua ya kike kuzaliwa kwa wingi, pia ukuaji duni pamoja na magonjwa ya fangasi.
 
Back
Top Bottom