Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nice kukuona,hope kimbunga kimeshapita
Asante bageshi. Kimeshapita. Mungu ni wa ajabu sana. Hawa watabiri wa hali ya hewa walitutisha sana waliposema kwamba kitapita kikiwa category 4. Watu wamehangaika na kwenda kwenye ma-shelters huko (mashuleni, makanisani na maktaba). Mungu Akafanya yake pepo zingine hata hawajui zimetoka wapi huko juu kabisa zimekuja na kuanza kupambana nacho (wind shear). Kimekuja kutufikia hapa category 1 kimedororaaaa Basically ilikuwa ni mvua tu ya kweli kweli na upepo wenye nguvu kidogo basi. Hata umeme haukukatika!

Kumekucha hapa hotelini na kuna breakfast buffet ya bure ngoja nijiandae nikapambane nayo. Rocky City huko mnasemaje? Tumshukuru Mungu !!!
 
Waaoww

safi kabisa mmenusurika daah maana lile gharika lililotangazwa si la kitoto. Mwenyezi Mungu ni Muweza yote.

Rock city tupo poa kabisa,sehemu nyingine kuna mvua kubwa upande mwingine jua kali bila dalili ya mvua
 
Back
Top Bottom