Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Japo hatumkumbuki mara kwa mara lakini yupo na katika matukio kama haya ndo uwezo wake hujidhihirisha
Sema GT. Kulikoni leo? Nimekuzoea mida ya wanga....
Madole?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Huyo ndiyo Mungu wetu mwenye uwezo usio na kikomo.
Asante baby. Siku yako inaendeleaje?Ashukuriwe Mungu wetu mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
sir yes sir
Iko poaa kabisa mpenzi..... Namshukuru Mungu upo salama.Asante baby. Siku yako inaendeleaje?
Wanajuana na wanajua. Ukweli utajulikana tu. Si ajabu hata ukakuta samaki wanakulana wao kwa wao. 2020 siyo mbali ati !!!Mwenyekiti kasema dereva wa lissu asiguswe baasi humu mtandaoni ukihoji kwann dereva hajitokezi polis,wewe ni adui kama watu wasiojulikana
[emoji112] helloo
Sawa !!!nimefanya tafiti mkuu, kilimo kinalipa na wewe utanisaidia tupande hayo mahindi pamoja
Amu vere faini BAK... za kwako?Hello how are you?
Hakuna aliyepoteza maisha. Tumshukuru MunguIko poaa kabisa mpenzi..... Namshukuru Mungu upo salama.
Sema bro. Nimeuliza tu jamaa huko anaongelea madoleeeez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Broo bhana
CantstopwontStop
[emoji5] [emoji5] [emoji5]Poa kabisa Jakitoo namshukuru Mungu