Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Atakuja tu. Namba utaziona. Mwanauzi bora kabisa !!!
Atakuja tu. Namba utaziona. Mwanauzi bora kabisa !!!
Huyu kapotea jumla na misemo yake ya busara. Sijui kama anaonekana kwenye magroup mengine. Itabidi tufanye juhudi za makusudi tumrudishe !!!
Yetu machoWanajuana na wanajua. Ukweli utajulikana tu. Si ajabu hata ukakuta samaki wanakulana wao kwa wao. 2020 siyo mbali ati !!!
Mbunge wa Kiembesamaki. Mahudhurio yake katika uzi huu hayaridhishi pia !!!
Mai Bebi [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hakuna aliyepoteza maisha. Tumshukuru Mungu
Gharika lishapita. Houston huko mnaendeleaje?Nafurahi kukuona ukiwa salama salmini baada ya gharika la kutisha.
Jamaa gani huyoSema bro. Nimeuliza tu jamaa huko anaongelea madoleeeez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]