Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sasa hiyo kiki itanisaidia nini humu jf?
Na sikumaanisha Kifo japo nilijua mtaelewa hivyo..SIKUA NA MAANA HIYO HATA MUNGU ANAJUA!
Pole mkuu kwa mkanganyiko. Binafsi nilishtuka sana kusikia kuwa Mondray kafariki hasa nilipomuuliza Gentries na akathibitisha kuwa ni kweli kafariki tena huyu huyu Mondray wa humu JF. Samahani kama reaction yangu kidogo imekuwa emotional. Ungesema tu kuwa nabadili ID wala kusingekuwa na mkanganyiko.
 
6ae881e596551c588d54b073244e519d.jpg
 
Huna makuu mkuu nakukubali!
Unajua hapa JF tumekuwa kama ndugu. Unaposikia mtu kafariki na ukathibitishiwa kuwa ni kweli kafariki aisee inahuzunisha sana. Watu wamepigana hapa mpaka Joseverest karudi unafikiri mchezo? Kifo siyo cha kutaniwa rafiki yangu.

Bado uko Shy kwa Nsamaka au siku ile ulipita tu huko?
 
Nipo kwa Bashite hukuu tunakimbizana na kasi ya baba yake!
Nsamaka Nimemuacha Bakulutu!

Back
Top Bottom