Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yupo majukwaa mengine huwa namuona hukoQUIGLEY nae kapotea jumla
Ashukuriwe Mungu kwakweli[emoji120][emoji120]Asante bageshi. Kimeshapita. Mungu ni wa ajabu sana. Hawa watabiri wa hali ya hewa walitutisha sana waliposema kwamba kitapita kikiwa category 4. Watu wamehangaika na kwenda kwenye ma-shelters huko (mashuleni, makanisani na maktaba). Mungu Akafanya yake pepo zingine hata hawajui zimetoka wapi huko juu kabisa zimekuja na kuanza kupambana nacho (wind shear). Kimekuja kutufikia hapa category 1 kimedororaaaa Basically ilikuwa ni mvua tu ya kweli kweli na upepo wenye nguvu kidogo basi. Hata umeme haukukatika!
Kumekucha hapa hotelini na kuna breakfast buffet ya bure ngoja nijiandae nikapambane nayo. Rocky City huko mnasemaje? Tumshukuru Mungu !!!
Mkuu, kiri tu kuwa kiki imebuma. Ama umechanganya madesa au mods wamekuchanganyia. Kubadilisha ID ndiyo ujitangazie kifo? Au ulitaka kusingizia Mondray kafariki na Gentries ndo ashughulikie msiba ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi siachi kitembelea kuleKila nikiingia JF lazima niende jukwaa la malalamiko kuna ubuyu kule sometimes
Naomba huu ubuyu tafadhaliKichwa Kichafu wa ubuyu ile thread imemlisha mtu ban
Pako vizuri kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi siachi kitembelea kule
Naomba huu ubuyu tafadhali
HahahaaNaja[emoji125] [emoji125]
Jamani[emoji22][emoji22]Ila pages zimefutwa
Mods wako macho siku hizi hawawahi wala hawachelewi,kuna mtu kapost ujinga mtaa wa pili sasahiv kala ban[emoji23][emoji23][emoji23]Ila pages zimefutwa
Mods wako macho siku hizi hawawahi wala hawachelewi,kuna mtu kapost ujinga mtaa wa pili sasahiv kala ban[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi yaishe mkuu. Malizia J'3 yako salama.Kiki itaniongezea japo mia kwenye bizz zangu? Anyway umeshinda