Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji120] [emoji120] Mungu ametenda.Asante bageshi. Kimeshapita. Mungu ni wa ajabu sana. Hawa watabiri wa hali ya hewa walitutisha sana waliposema kwamba kitapita kikiwa category 4. Watu wamehangaika na kwenda kwenye ma-shelters huko (mashuleni, makanisani na maktaba). Mungu Akafanya yake pepo zingine hata hawajui zimetoka wapi huko juu kabisa zimekuja na kuanza kupambana nacho (wind shear). Kimekuja kutufikia hapa category 1 kimedororaaaa Basically ilikuwa ni mvua tu ya kweli kweli na upepo wenye nguvu kidogo basi. Hata umeme haukukatika!
Kumekucha hapa hotelini na kuna breakfast buffet ya bure ngoja nijiandae nikapambane nayo. Rocky City huko mnasemaje? Tumshukuru Mungu !!!
Habari ya jumatatu hii mkuu
poleni...It was calm and peaceful
QUIGLEY nae kapotea jumlaHuyu kapotea jumla na misemo yake ya busara. Sijui kama anaonekana kwenye magroup mengine. Itabidi tufanye juhudi za makusudi tumrudishe !!!
kweli..I Never believed when my pastor told me: "the more you give, the more you get" till I watched Man City give Liverpool 5
Note: Liverpool gave 4 to Arsenal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mondray wa humu JF au mwingine?R.I.P Mondray..
Daima tutakukumbuka..!
Amen ndugu yangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji120] Mungu ametenda.
Ahidimiwe aliye juu ya yote, maana ametenda vile ameona ina faa.
Siyo kweli bro....Lakini kama kweli vile
CantstopwontStop