Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Wa humu Jf!
Mondray wa humu JF au mwingine?
Mondray wa humu JF au mwingine?
ebwana naunga mkono hoja!No, hapana, biyaaaa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
**********************************
Cheating is only for married couples,,the rest of you are just searching for the right ones...
[emoji214][emoji213]
hahhaha! wewe lazima utakuwa mtu usiyejulikana
Ni kweli. Imekuwa kawaida sasa kukuta post hazina likes au zina like moja. Nakumbuka wakati ule mimi na wewe pamoja na Mzee wa River tulisimama kidete kukumbushia kumbushia mara kwa mara kuhusu hili. Itabidi tuanze tena otherwise uzi huu utafikia kikomo.likes ziwe nyingi au litakuwa kama jukwaa lingine tu...
Kama ni huyu member mwenzetu , tafadhali thibitisha mkuuR.I.P Mondray..
Daima tutakukumbuka..!
habari nzuri, kwema hukoHabari za mchana huu
Amefariki kweli? Wapi umepata habari hizi?Wa humu Jf!
Ni uwongo. Makapuku kule yupo anapost mpaka wakati huu. Watu wengine bwana !!!
daaah! ebu kula ebu kula like kwanzawapitaji wamekuwa wengi ila hawatoi 'likes
asante mkuu nawe piadaaah! ebu kula ebu kula like kwanza
NI KWELI MKUU??R.I.P Mondray..
Daima tutakukumbuka..!
Ni uwongo. Makapuku kule yupo anapost mpaka wakati huu. Watu wengine bwana !!!
Hakuna. Mondray na Gentries ni mtu yule yule mmoja. Tayari mods wameshaonyesha kuwa ni mtu yule yule. Sasa sijui anajisingizia kufa yeye mwenyewe ili iweje. JF hii yaani ni full kipupwe....