Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Teh teh tehhahahahaha
na bado
Teh teh tehhahahahaha
na bado
NzuriHabari za jioni MANYARA
Aminatusalimie majirani zetu
Aminatusaidie ndugu zetu
Aminaasubuhi iwe na baraka kwetu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Bob ninunue
Aaah Bob jamani si unabadili tu mawazohahahahah
ofa nilikupa siku nyingi ukajifanya oooh nimeolewa ooooh sijui nini
unaona sasa
Likes for likeslike kwa likes
AMUN RAMungu ni mwema kila wakati
CantstopwontStop
AminaNi jumatatu nyingine. Mungu aibariki tufanikiwe maombi yetu kwake na nia zetu kwa zile ambazo ni njema.
hahahahahaAaah Bob jamani si unabadili tu mawazo
anajifanya anampenda andjul kumbe andjul kahalalisha kumuuzaTeh teh teh
Hahahah we nae kwhy unaanza kunizungusha sasa. Fika bei unichukuehahahahaha
usijali
ila naona moudgulf anakumendea mendea
hebu toa kauli ya kishujaa juu ya hilo kwanza
Hahahah jamanianajifanya anampenda andjul kumbe andjul kahalalisha kumuuza
Kazi kweli kwelianajifanya anampenda andjul kumbe andjul kahalalisha kumuuza
mimi kuhusu bei sio tatizo😎Hahahah we nae kwhy unaanza kunizungusha sasa. Fika bei unichukue
KK ofa hiyoKazi kweli kweli
kk vipi mbona unakimbia shekh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haya elewana na kaka shimba sasa.mimi kuhusu bei sio tatizo😎
niko tayari kutoa hao ng'ombe 30 na bonasi juu😎