chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
Huyu muache tu akimbiekk vipi mbona unakimbia shekh
Habari za jioni mkuuNdio mkuu, habari ya asubuhi?
hapa dili siyoHuyu muache tu akimbie
Hapana siku hizi natafuta michepuko tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]KK ofa hiyo
vipi
AminaHabari ya asubuhi wapendwa
Tumshukuru Mungu kwa siku mpya
Mungu atuongoze tuwe na siku njema yenye baraka
Huko kibiti nani akaishi?hapa dili siyo
Nilikuwa napita tu palekk vipi mbona unakimbia shekh
hahahahahHapana siku hizi natafuta michepuko tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazima
hahahahahHuko kibiti nani akaishi?
Wapi hao
Hatujambo
Ni msomali pureNimesikia et mama v ni msomali[emoji23][emoji23]
Changamoto ni nyingi huku ndugu yangu.hahahahah
umeadvance kweli kweli
Hahahah haya elewana na kaka shimba ili utoe maharihahahahah
karibu bunju mama
mtoto viv anakungoja
Hahahahaha*TANZANIA NDIO NCHI PEKEE AMBAYO MZAZI ANAANGALIA TAARIFA YA HABARI HUKU AMESINZIA UKIBADILISHA CHANNEL ANAAMKA*
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app