maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,196
- 3,901
Hadi pengo nimeliona[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh jilipue tu kwa hiyo hiyo.
Siku hizi hamna vikao vya kifamilia.Ila naona manyanyaso kwako bado yanaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu washafikia muafaka wa idadi ya ng'ombe huko
Nipo makini na weakness tu nafanya vurugu ila pale nimetulia kwa kweli.Huwezi jua dogo cha muhimu kuwa makini na naniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea kwa hisia[emoji22][emoji22]Shemejiiii.... Naomba unikwoti nilipo sema namuuza..
Yeye mwenyewe amesema kwamba eti amesikia nimemuweka sokoni... Kasikia kwa nani? Mpare? Mkerewe? Au yule mnyamwezi anaeoa kwa kuku?
Sikutaka kumkwotua...
Mapenzi yanauma ohoooo !!!Umeongea kwa hisia[emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kamepata msomali.. Kaongo kabisa buladi fulu zake... Mfyuuuu...Huyu singo faza ni shida. Mpaka leo mi na Jakitoo hatuko sawa kivile yaani...
Haya Mambo mkuu kazi SanaMkuu umekuwa mshauri huko.
ho chi minh atajuta feedback tu acha tusubiri makeke ya huyo mzee kiparaBasi wako salama hao[emoji23][emoji23][emoji23]
Una uliza nini sass!! Jana ulikuwa unamtafutia nini?Ng'ombe tuwapate wapi? Vipi kwani, kuna ka opening kamejitokeza? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kamepata msomali.. Kaongo kabisa buladi fulu zake... Mfyuuuu...
Nipo miss nani kakufungia huko mrembo.?Kichwa kichafu upooo