Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Hahaha na mimi namsaka kapotea sana......ukimuona huko njiani mwambie namtafutaMsalimie mzee wa cha Kingston
Hahaha na mimi namsaka kapotea sana......ukimuona huko njiani mwambie namtafutaMsalimie mzee wa cha Kingston
Kazini au kiazini maana ni viazi si watu waleWatu wako kazini
Mkuu umekuwa mshauri huko.Sikiliza moyo wako
CantstopwontStop
ho chi minh muda alivyopata mafao ya kustaafu ila sasa amebaki kama wenger
Babe[emoji22]Huyu singo faza ni shida. Mpaka leo mi na Jakitoo hatuko sawa kivile yaani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinune basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu sana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tutakufanyia ng'ombe 28 tu
HahahahahaMoudgulf na kuku wake mia sijui kama atapaweza hapa. Naona parefu kidogo !!!
Shemejiiii.... Naomba unikwoti nilipo sema namuuza..Mtuhumiwa nimeshaona kauli zake humu. Anamuuza mkewe ili apate ng'ombe wa ugoni. Zingatia kuwa mwenyewe bado tunamdai. Kuna nini hapo cha kuhoji? Kamgeuza mkewe kuwa mtaji ama?
Shemejii[emoji23]jakitoo alibembeleza asamehewe bila mafanikio, akaamua aokoke tu, ni kwaya kwa kwenda mbele... Usingizi ukamkatika katiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob katunyanyasa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi nakushangaa mke wa mtu wataka kununuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani we kuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul ukuje huku mkeo kanunuliwa na baba v
Kama kawaida mkuuchama letu huddersfield
HahahhaaNani huyo ameanza biashara haramu ya human trafficking?
Nimekaa kimya tu sasahiviKweli, usije sutwa bureee... Familia kubwa hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kapo. Halafu kamepigwa bei na mumewe. Kwenu kuna ng'ombe?
Basi wako salama hao[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua aliniambia atapotea na mtu fulani humu nahisi amekamilisha mission yake