mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli hii kesi niwaachie wenyewe mmalizane[emoji23][emoji23][emoji23]Mtuhumiwa nimeshaona kauli zake humu. Anamuuza mkewe ili apate ng'ombe wa ugoni. Zingatia kuwa mwenyewe bado tunamdai. Kuna nini hapo cha kuhoji? Kamgeuza mkewe kuwa mtaji ama?
Bora kaka useme uwaambie maana wanaingilia tu mambo ya kifamilia na wakati hayawahusu.Ha ha haaa. Nyie hamuelewi kinachoendelea. Wewe ungekuwa mimi dadako tumbo moja toka nitoke usikie anauzwa ungefanyeje? Inauma sana nyie acheni tu...
Hey hebu tuacheIla shemeji ungemuita kumuhoji mtuhumiwa kwanza
Maana huyo dada ako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ninyamaze
Eeeh nimeibuka, vipi ulimaliza mitihani salama?
Kumbe[emoji23][emoji23][emoji23]ila alijua kuwachezea akili alikuwa kama yule paulinaKule sikutokea nilikuja kuna jose hunter mwenzangu alinitag baada ya mambo kwenda ndivyo sivyo kwake.
jakitoo alibembeleza asamehewe bila mafanikio, akaamua aokoke tu, ni kwaya kwa kwenda mbele... Usingizi ukamkatika katiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob katunyanyasa sana[emoji23][emoji23][emoji23]ila alikunyanyasa mana si kwa midedikesheni ile
Tena ww nin hasira na ww balaaAsisahau ng'ombe wa ugoni kwenye hesabu yao
Nia yangu ameijua naona anaingia king.Ila mbona nakuona karibu sana na mke wa mtu yule
Cc:mke wa mtu yule[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mamba kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We kiboko unapenda ubuyu sana
LohMuache tu aende akapambane na al shabab
Itakuwa tunapishana basiMi nipo sana, wewe ndio unapotea haswa! [emoji23][emoji23]
18:5016:23
Na mm umeona wapi nimesema nimeachwa?Me najua hujaachwa sasa kama umeachwa nambie nikawahi nafasi[emoji23][emoji23]
Ukipata nami usinisahau. Mods siku hizi wako macho. Yaani ubuyu hata haujakolea tayari weshaubumburusha...na ban juu. Kha !!!Kweli hii kesi niwaachie wenyewe mmalizane[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila acha nikae pembeni nikisanye ubuyu
Mia miaPole mkuu kwa mkanganyiko. Binafsi nilishtuka sana kusikia kuwa Mondray kafariki hasa nilipomuuliza Gentries na akathibitisha kuwa ni kweli kafariki tena huyu huyu Mondray wa humu JF. Samahani kama reaction yangu kidogo imekuwa emotional. Ungesema tu kuwa nabadili ID wala kusingekuwa na mkanganyiko.
carbamazepine hujambo?Sio mamba kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimewaacha na familia yenu ya mwendo kasi[emoji23][emoji23][emoji23]Hey hebu tuache