carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Samahani shemeji[emoji22][emoji22]Shemeji, unajua unaniumiza sana kifikra ukisema hivyo !!!
Sirudii tena
Samahani shemeji[emoji22][emoji22]Shemeji, unajua unaniumiza sana kifikra ukisema hivyo !!!
Vipi tena?[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Ka opening? Unafikiri ni kwa nini naulizia kama kwenu kuna ng'ombe? Uchangamkage yego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ng'ombe tuwapate wapi? Vipi kwani, kuna ka opening kamejitokeza? [emoji23][emoji23]
Aakha!!! Wewe mwenyewe kujichekesha kwa mpare na mtoto wa kinyamwezi..Andjul ndio kaniweka sokoni
Singo faza kaleta maafaHuyu singo faza ni shida. Mpaka leo mi na Jakitoo hatuko sawa kivile yaani...
Kichwa kichafu niajeSalama kabisa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]me ni supportive bhanaUmeanza mambo yako kunisifia wehu wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We dogo si mutu muzuri kabisa.
Eeee eti....Haya safari njema mama
Ila bora umetuachia nafasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:andjul eti wewe ni singo eeeh[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisee umefika salama Mogadishuhahahahah
ofa nilikupa siku nyingi ukajifanya oooh nimeolewa ooooh sijui nini
unaona sasa
Me tangu jana sijamuonaJamani sijamwona my Queen leo
Teh teh teh tatizo mwandiko ulikuwa unatoa sauti nzito[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu si kwakujishaua kule lol[emoji23][emoji23]
Pombe sio maji ya kunywa
Msalimie mzee wa cha KingstonNzuri