Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kweli
Kumtafutia mtoto matatizo tu[emoji57][emoji57]
Kumtafutia mtoto matatizo tu[emoji57][emoji57]
Heee kumbe vilikuuma? Na siondoki basi humu ndani.Aakha!!! Wewe mwenyewe kujichekesha kwa mpare na mtoto wa kinyamwezi..
Tena unajifanya wewe ni victim na umeachiwa mtoto wa miezi 6,hii fursa lazima ichangamkiwe na vile tuna huruma toka moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha kabisa,utasikia naja kufua nguo za mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee, nilikuwa sijui kama usingo faza ni bonge la ujiko. Nami itabidi nianzishe sredi kabisa nijiite singo faza aka Baba Ashura. Si kwa kugombaniwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usinune basiUmeanza dogo shikamooo msela unaniandamana[emoji23] [emoji23] [emoji468] [emoji468] [emoji468]
ho chi minh huyo tulipanga vith vingi sana hadi ideas za biashara kumbe alikuwa anauza plan zoteDah hatari sana ho chi Minh akukosea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uuuuwiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Unishindi mimi hivi nataka nifungue uzi
CantstopwontStop
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ka dume la mbuzi
Hii nzuri sana hiiA small dose of "Sodium pentathol" when injected makes you unable to lie and reveal everything you know.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahahaha
hivi carba umempa nini weye😉😉😉
Numbisa na carbamazepine katika ubora wao