Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nina jamaa yangu ameshatoa mahali ili aoe lakini wazazi wake hawataki kabisa afu wazazi ni walokole ananiambia nimshauri lakini Sina cha kumwambia.
CantstopwontStop
CantstopwontStop