andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Shemejiiiiii!!!Kwa kweli amekosea sana. Yeye katudhulumu wale ng'ombe 15 hakumalizia halafu anakuweka sokoni tena. This is unacceptable kabisa !!!
Shemejiiiiii!!!Kwa kweli amekosea sana. Yeye katudhulumu wale ng'ombe 15 hakumalizia halafu anakuweka sokoni tena. This is unacceptable kabisa !!!
Akijibu nitag Mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahaha
usijali
ila naona moudgulf anakumendea mendea
hebu toa kauli ya kishujaa juu ya hilo kwanza
Aisee, nilikuwa sijui kama usingo faza ni bonge la ujiko. Nami itabidi nianzishe sredi kabisa nijiite singo faza aka Baba Ashura. Si kwa kugombaniwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Singo faza kaleta maafa
Pombe sio maji ya kunywa
Umeanza dogo shikamooo msela unaniandamana[emoji23] [emoji23] [emoji468] [emoji468] [emoji468]Shikamoo KK sukari yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi naja nifungulie mlango[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Eeee eti....
Kumtafutia mtoto matatizo tu[emoji57][emoji57]
Unishindi mimi hivi nataka nifungue uziNakumiss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ka dume la mbuziTeh teh teh tatizo mwandiko ulikuwa unatoa sauti nzito[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ka opening? Unafikiri ni kwa nini naulizia kama kwenu kuna ng'ombe? Uchangamkage yego [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shemejiiiii!! Wewe mwenyewe uliangukiwa na madhara ya mpare yuleeShemeji iache familia yetu. Mbona shemeji mwenyewe kumbe ndo kamuweka sokoni? Imagine we unasikia dadako kawekwa sokoni anauzwa utajisikiaje? Nina uchungu sana shemeji kwa kitendo hichi. Puliizi....
I see me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah hatari sana ho chi Minh akukosea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana siku hizi natafuta michepuko tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]