mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
SHIMBASIMBA
SHIMBASIMBA
Moudgulf na kuku wake mia sijui kama atapaweza hapa. Naona parefu kidogo !!!hahahahaha
usijali
ila naona moudgulf anakumendea mendea
hebu toa kauli ya kishujaa juu ya hilo kwanza
Bonge la mechiWest Ham Utd v Huddersfield Town
Hata mimi nakushangaa mke wa mtu wataka kununuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani we kuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nimeachika lini? Au hiyo talaka we ndio uliandika?
teh teh tehWewe[emoji378][emoji378][emoji378][emoji380][emoji380][emoji380]
Mi nipo nitakuwa naokota meno yatayotoka wakiwa wanapigana.hapa patamu sasa
mkitaka kuzipiga refa yupo😉😉
18:1612:59
Dadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !!!Bob ninunue
18:1713:00
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Hahhaha haya kaka keshatoa baraka zake, Bob njoo
Pima mashimo ya kupandia katika umbali wa sentimita 20 hadi 25 kutoka shina hadi shina mstari mmoja kwa tuta na sentimita 40 katika mfumo wa zig-zag pande zote mbili za tuta na kupanda.
Mbolea kianzio iwekwe katika kila shimo na kupanda endapo miche kutoka katika trei itatumika Hakikisha shamba lina unyevu wa kutosha kabla ya kupanda
hahahahahaMi nipo nitakuwa naokota meno yatayotoka wakiwa wanapigana.
KILIMO CHA MATANGO.
Tunda linalostawi maeneo ya kitropiki na lenye faida kemkem za kiafya ikiwemo upatikanaji na vitamin A pamoja na waswahili husema ulaji wa tunda hili husafisha figo, na huku wataalamu wakieleza tunda hili Husaidia katika kuongeza maji mwilini, pia Husaidia katika mmeng`enyo wa chakula.
Mikoa mingi hapa Tanzania huzalisha zao hili kwa wingi, ikiwemo Arusha, Tanga, Tabora, Mwanza, Pwani, Morogoro na mingine mingi.
chama letu huddersfieldBonge la mechi
Mama v ni msomali[emoji23][emoji23][emoji23]kitu cha al shababhahahahah
hebu muulize carba mama vv ni nani😉
Nani huyo ameanza biashara haramu ya human trafficking?Jamani baada ya kupata taarifa za kuwekwa sokoni bila kujijua nilipata mshtuko wa mawazo ndio maana nikawa nimeadimika kidogo.